Nambari za Mawasiliano
Toa Taarifa za Kutahadharisha
Taarifa zote zitakazotolewa, ikijumuisha maelezo kuhusu mtu binafsi, zitahifadhiwa kwa njia ya siri.Tutakuuliza utoe taarifa zifuatazo:
Eneo unalotahadharisha kuhusu:
Ili kuhakikisha kuwa tunaelewa mahali au taarifa za kutahadharisha zinahusiana na nini.
Maelezo kuhusu taarifa za kutahadharisha unazotoa:
Ili kuhakikisha kuwa tunaweza kuthibitisha taarifa au ujumbe wa kutahadharisha.
Jina lako:
Ili kuhakikisha kuwa tunaweza kuhifadhi taarifa za kutahadharisha zinazorudiarudia.
Jina lako unalopendelea:
Ili kuhakikisha kuwa tunakurejelea kwa kutumia jina unalopendelea badala ya jina lako la kwanza tunapowasiliana na wewe.
Mbinu ya mawasiliano unayopendelea:
Ili kuhakikisha kuwa tunakufikia tu kwa njia unayopendelea iwapo tutawasiliana na wewe.
Nambari ya simu ya eneo uliko
Hii inapatikana kwa nchi fulani barani Afrika. Hii itafungua skrini nyingine iliyo na nambari za simu za eneo uliko.
Fomu salama mtandaoni
Hii inapatikana kwa nchi zote barani Afrika. Hii itafungua fomu ndani ya sehemu uliofungua,